Anamaanisha siyo miezi tisa tu bali ni miezi tisa ya mimba na mitatu ya baada ya kujifungua. Hivyo unatakiwa ule wa chuya kwa mwaka mzima na wala si miezi tisa tu.siui unamanisha nini mkuu?
kwa kesi ya mke wa mdau nahisi kama ni tatizo la kisaikolojia zaidi ndo limemjengea hofu??
Kama ni hivyo mbona wanawake wengine wanapewa bed rest na hawaruhusiwi kufanya tendo la ndoa?
'Wanawake wengine' ndio aina gani ya wanawake?
Be specific maana si ajabu unarefer wanawake wenye asili ya frequent miscarriage...au wana matatizo ya shinikizo la damu n.k
Jibu hilo hapo shemkwe
Naam shemkwe hapo tupo sawa!