father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Hapa majuzi nilikutana na mshikaji wangu akiwa hana raha.............kumuuliza nini tatizo..........anadai wamegombana sana na wife.................kisa eti mshikaji alimweleza wife wake kwamba enzi za ujana wake siku moja alijaribu kuvuta sigara.............lakini baada ya pafu mbili jamaa akawa kama kalewa hivi akashindwa hadi kutembea ikabidi ashikwe huku na huku...............pia akamuhadithia mkewe kuwa akinywa tu chupa moja ya bia analewa tilalila.................Jamaa anadai baada ya maelezo hayo mkewe akamwambia..............mume wangu sisi wanawake tunapenda kuamini kuwa wanaume zetu ni superman tunasahau kuwa wameumwa na nyama kama sisi wanawake............jamaa anadai mkewe akaendelea kuwa...........eti maelezo ya mumewe yamem-put off na yanamfanya amuone mumewe kuwa yuko weak jambo ambalo linamfanya eti mke huyo amuone mumewe unatractive......................jamaa anadai kuwa wife anadai wanawake wote wanapenda kuamini kuwa wanaume zao wananguvu kuliko wao(wanawake) lakini eti wife wa jamaa anadai yeye havuti sigara lakini anaamini hata akivutwa sigara nzima hatabebwa kama mumewe alivyobebwa baada ya kuvuta pafu mbili...............................Jamaa anadai mkewe amemuomba asimuhadithia tena story za aina hii..................Jamaa naye anadai maneno ya mkewe yamejaa dharau......................
Wakulu hii kesi nimeiletwa kwenu nisikie na nyinyi mna lipi lakusema.......................................!
Wakulu hii kesi nimeiletwa kwenu nisikie na nyinyi mna lipi lakusema.......................................!