lemonadeMtambuzi vipi mwanamke mpole na mwenye heshima na mwanaume akachukua hali hiyo kumkandamiza mwanamke?
Mimi napenda kila mtu achukue nafasi yake kwenye ndoa. Haipendezi hata kidogo kuwa na mwanamke aliye juu ya mumewe au anayejilinganisha na mumewe, si ukondoo sometimes inatia hata hamasa mwanaume akionesha "uanaume" wake.
MadameX ..................Nakubaliana na wewe kwenye Bold, na ndio maana wanawake wanatakiwa kuwasoma wapenzi wao kabla ya ndoa.......... Lakini kama mtaharakisha for the sake of kuvalishwa pete ya ndoa, itakula kwako. Wanaume tunatofautiana sana, kuna wale ambao wakishitakiwa na dhamira hurudi chini na kuyamaliza na wake zao kwa njia ya mazungumzo lakini wengine ni ubabe ubabe tu........ Mwanaume wa aina hii, kama ameoa mwanamke asiye na busara, ndoa hiyo haitodumu...........Nimekusoma mzee na nakubaliana na wewe, kuna wengine wanakuwa successful kwenye hii area mpaka unashangaa hiki kidume mbele ya mke topetope. Na kuna wengine wanatumia upole wa mke kumwangamiza zaidi hapo unasemaje?
Mabuzuki .................Kumbe wewe umeelewa eh!.......... Kuna watu humu wamesoma wakiwa na mning'inio wa Jumatatu........... hawjaelewa nimezungumzia nini, wamekurupuka kutoa maoni wakidai eti nimesema wanawake wawe makondoo......... Jamani hebu nitakeni radhi.................Kaka mutabuzi mtu akikusoma vizuri ataelewa unachosema, asipo tulia ataona kama vile unashauri wake za watu kuwa makondoo., sio kweli. MWANAUME kuwa juu maana yake sio kumtukana/kumpiga/kumnyanyasa/kumdharau ........ mwanamke, la hasha!!! ni kuskilizana na kuheshimiana MWANAMKE akijua hivyo na akawa anajitahidi kuwa chini kama mtoa mada anavyo sema Ndoa zitatulia sana. Mwanaume mwenye akili akikosea na akaambiwa na mkewe kwa heshima bila kutaka kuchukua nafasi isiyo yake atafanikiwa. Shida ya kizazi cha sasa ni elimu, BEIJING. Huu sio mpango wa MUNGU. Soma vitabu vitakatifu utalibaini hili.
NASISITIZA: SIO KUMNYANYAPAA MWANAMKE ila MWANAMKE AJUE NAFASI YA MUMEWE NA AIHESHIMU, Mwanaume asiyefanya hivyo naye hana maana tu.
Na ndio hapo unakutana na mwanamke anakwambia "Nimeolewa vyuo saba mie" yaani kaolewa na kuachwa mara saba..............!hiyo ilikuwa zamani siku hizi ukimwaga ugali mkeo anamwaga mboga
JOJEETA ....... Mwanaume mbishi na mbabe haombi msamaha haraka , hata kama kosa liko wazi (Kama mimi Mtambuzi nitakupigia hata magoti...LOL). Mara nyingi mpaka akajiulize saAana ndipo atakuja kukuomba msamaha na sio kwa kusema samahani......La hasha.......atajichekesha chekesha, na vizawadi kidogo, na kwa mtu mzima atajua tu kwamba huyu jamaa kajirudi amejua makosa yake, lakini kama atafanya hivyo na bado mwanamke akaonyesha kibri........ atashangaa vituko vyake........... Jamani msitegemee kushinda mbele ya mwanaume mbabe..................mtambuzi,nimekusoma bt ili niwe normal must aombe msamaha hata kama anazuga bila hivyo ni KUNUNA TU mpaka kieleweke.
Mtambuzi vipi mwanamke mpole na mwenye heshima na mwanaume akachukua hali hiyo kumkandamiza mwanamke?
Mimi napenda kila mtu achukue nafasi yake kwenye ndoa. Haipendezi hata kidogo kuwa na mwanamke aliye juu ya mumewe au anayejilinganisha na mumewe, si ukondoo sometimes inatia hata hamasa mwanaume akionesha "uanaume" wake.
TaiJike ..........Yeah......... Uko sahihi, kuna wakati inanilazimu kuwa dikteta katika maamuzi yangu, na kama binadamu nina maudhaifu yangu ....... nilishawahi kusema hapa kwamba mimi sio mkamilifu, bali niko tayari kujifunza kila siku. Mama Ngina ananijua na ameshayajua mauadhaifu yangu, anachofanya ni kuyakemea kwa jina la yesu au kukubaliana nayo kwa sababau hayamzuii kula na kulala usingizi wake mnono..............LOL
Una akili sana Mtambuzi! U spoke my mind! huwa na mwambia mke wangu kitu hikihiki! U dont want to worsen mambo kaa kimya usishindane, maana u dont expect me to keep quite, I always want on top! Halafu sifanyi hivyo kwa sababu nataka kudominate hapana huwa inatokea tu wakati mwingine bila hata kujijua! Reflex badae mambo yakishapoa unaanza kujiuliza
Wanaume wa kihaya wanatofauti kubwa na sisi wakulya!! Mtambuzi ni mhaya stori kama hizo anazifagilia wakati hapa Tarime ukisikika unamdekeza mkeo au kumuomba msamaha watu watajipanga kukuvamia na kukuchinja wewe na mkeo, jambo hilo kulizungumza hadharani unaweza kuhatarisha maisha yako

katika makabila ambayo huwa siku zote naomba MUUMBA WANGU JUU awaepushie wanangu kuolewa nao ni hili, TUFIAKWA(najitemea mate kifuani) watoto wangu kamwe wasiolewe huku!