Mke hawezi kushindana na ubabe wa mwanaume!

Mr horsepower, u are always a great thinker.
 
hivi mnaishi ili kuoneshana ubabe au mmeridhiana kuishi kwa furaha?
 
Pole we maana mpaka sasa tayari mwanao ni mkazamwana wangu na mimba tayari.

TaiJike namuomba MUNGU JUU YA WANANGU! Na siku zote MUNGU husikia maombi. sawa umempa mimba nitamlea mjukuu, lakini kamwe hutamuoa na hata ikitokea ukamuoa, HAKIKA NDOA YENU HAITADUMU, MAANA HAINA KIBALI MACHONI PA MZAZI, NA MZAZI NI MUNGU WA PILI!
 
Na kunyamaza huo ndio mwanzo wa uchungu na kupata vidonda vya tumbo, presha, kisukari+.. kwa kweli wanawake tuna kazi duniani, God help us!
 
TaiJike namuomba MUNGU JUU YA WANANGU! Na siku zote MUNGU husikia maombi. sawa umempa mimba nitamlea mjukuu, lakini kamwe hutamuoa na hata ikitokea ukamuoa, HAKIKA NDOA YENU HAITADUMU, MAANA HAINA KIBALI MACHONI PA MZAZI, NA MZAZI NI MUNGU WA PILI!
cacico ni MUNGU wa mbingu ipi huyo asiye na upendo wa kazi ya mikono yake?
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wa siku hizi hasa wasiojua Mapenzi! Hata umwambie niwekee maji ya kuoga anaona mdhalilisha

Heri Mi huwa ananiambia ni Majukumu yangu Kukupenda na Kukuhudumia kama Mwanaume. Na ninampenda mana 2naelewana na hakuna Ugomvi hata Tone na kazi namsaidia. Very happy ukiwa na mwanamke anayekujali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…