Okay.
Sijakuelewa chief!!!Soma kijana , mtihani mwezi ujao ujue, haya Mambo ya kikubwa hayakuhusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa chief!!!
Ulikusudia kuni-quote mimi au?maana content ya nilichoandika hapo juu na ulichoandika hapa haviendani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah mkuu,sawa sawia!Hapana mkuu sio wewe, Kuna mtu aliandika upupu ndy nilimkusudia kumcopy, nafikiri kuna matatizo ya kiufundi yametokea, niwie radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na miaka karibia 20-30 unaweza kuona umri huo umekwenda sana. Ila utashangaa Mungu akikujalia ukafikisha umri kama huo, utaona bado......Mbona umri wako umekwenda sana kuyafikiria ayo mkuu eni wei kila lakheri
Ukiwa na miaka kati ya 20-30 unaweza kuona umri huo umekwenda sana. Ila utashangaa Mungu akikujalia ukafikisha umri kama huo, utaona bado......