Mke HIV +,Mme HIV-.wananzengo Hebu tujadili hili.

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Jamani wataalam wa afya,nimeletewa case hii. Mke na mme wamepima HIV. Mke positive ila mme negative.Yaani tokea waoane miaka kumi iliyopita mke alikuwaga hataki kabisa kwenda Clinic. Hivyo inamaanisha Mwanaume alikutana na huyu mwanamke. Mwanamke alikuwa tayari ni HIV +.Miaka 10 wameishi. Mwanaume hajaambukizwa. Hebu tudiscuss hili wataalam wa afya.
 
Wamepata watoto?
 
Chemokine CCR5 ndiyo microphage receptors anae karibisha HIV.
 
It is Possible but impossible as well. do they have kids?
Yes,4 kids .Sometimes I think may be the woman,she is using ARV and she didnt want her hubby to know. It is a complicated case.
 
Kupata HIV ni mpaka cell receptors zipokee virus.
But kwa nini kwa wengine zipokee na kwa wengine hapana? Ila kumbuka wakiendelea kukutana ipo siku mwanaume ataweza ambukizwa?
 
NAOMBA KUJUA NI DAWA GANI?/ MBINU GANI YA KUFANYA ILI WHITE BLOOD CELL RECEPTORS ZIWE NA ULEMAVU MZURI NAMI NISIPATE HAYO MARADHI!
 
inawezekana kunammoja niliwahi sikia anaelezea ushuhuda wake alikaa na mke ndani ya miaka miwili na hakupata
 
ndiom porojo zao hizi ili ku prove uongo wao wa nadharia ya HIV
 
Mwanamke huwenda alishajua kitambo akaanza kutupia dawa kimya kimya na hizo ndizo zimesaidia Mr wake asipate maambukizi.
 
Siku hizi hawa jamaa waliotunga hii nadharia yao ya uongo ya HIV wanazidi kuumbuka kutokana na kukua kwa technologia .hizo case zipo tangu zamani sema watu walikua hawajui kutokana na ufinyu wa kupata information.
HIV is not real its just a fiction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…