Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
nimekuwa nikisoma, sikia na sehemu nyingine nimethibisha kuona moja kati ya wanandoa ameathilika yaani HIV positive na hasa mwanamke na mwanaume kuwa HIV negative licha ya kuwa walikuwa kwenye mausiano ya kimapenzi yasiyo salama yaani bila kutumia kondomu na hata kubahatika kupata watoto kwa muda mrefu. mfano mzuri ni uzi uliokuwepo hapa kama wiki iliyopita ukiomba ushauri kuwa nyumba ndogo imeathirika na yeye mzima
hoja yangu
hoja yangu
- je, ni kweli inawezakana wanandoa ambao wanawatoto mmoja wapo akaathirika na mwingine akawa hajaathirika?
- Je, hivi vipomo vyetu sio vya kichina/fake
- kama inawezekana watu hawa uhusiano wao kimapenzi utakuwaje ikizingatiwa wao ni wana ndoa?
- kama wanataka kupata watoto wafanyaje ili wapate watoto ambao ni HIV negative