Mke kagoma kutoa kuku anaofuga kwa ajili ya kitoweo cha nyumbani mpaka alipwe pesa na mume

Isike II

Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
84
Reaction score
68
Wanajamvi habari za mapambano ya kimaisha.

Nikienda kwenye lengo kuna tukio nilisimuliwa, iwapo likikutokea nivyema kuchukua tahadhari gani?

Nyumbani kuna kuku, baba/Mume anasema amekwema kimichongo, mama anasema toa hela tuchinje kuku kama huna kuku wa hapa nyumbani hatolewi kwa kitoewo cha nyumbani.

Nakuendeleza kusema bila hivyo hakuna kula nyumbani.

Nimepata hasira kwa simulizi hiyo hadi kuandika nimeshindwa

Kwenu wadau.
 
Wanajamvi habari za mapambano ya kimaisha.

Nikienda kwenye lengo hivi tukio nililo simuliwa likitokea nivyema kuchukua tahadhari gani?

Nyumbani kuna kuku baba/Mume anatoa amekwema kimichongo mama anasema toa hela tuchinje kuku km huna kuku wa hapa nyumbani hatolewi kwa kitoewo cha nyumbani

Nakuendeleza kusema bila hivyo hakuna kula nyumbani.

Nimepata hasira kwa simulizi hiyo hadi kuandika nimeshindwa

Kwenu wadau.
Aisee, hivi mnawatoa wapi wa nana hiyo mkuu, mambo ya ajabu ajabu
 
Wapo mtaani humu kabla hawaoneshi makucha.

Sijui ndio uchaga
Acha kusingizia kabila, wengine tumeoa wachagga na hawajawahi fanya huo utumbo sema tu mlikutana akili zenu zafanana, ukiambiwa chunguza kwanza kabla ya kuoa mkuu usiwe unapuuzia, usipochunguza matokeo yake ndio haya

Usipoa galia ahata mbususu utauziwa
 
Mke michepuko km yote. Alifumwa anapanga kutoa mimba na mwamume mdanganyi
 
Piga chini, be a man of your prinxiplea usiyumbishwe na mke asiye mwaminifu, mimi naweza vumilia yote ila nikigundua usakiti napiga chini hata kama tuna watoto kumi
 
Jamaa anasema anaogopa kutelekeza watoto
 
Back
Top Bottom