Eti wamama mwalimu wao ni .......Ni mke wa mchekeshaji ze comedy wa ulongoni.mumewe kakuta anamegwa na muuza voucher wa goms.mr akaita masela wake.kumuadhi pale wakaona itakuwa so.jamaa kaachiwa kwa ahadi ya kutafutwa baadae.mgoni kashauliwa ahame mji.wife kaenda kwao.
unanunua simu halafu hujui kuweka vocha, lazima umegewe sana hapa mjini
kweli hii ni weekend.hivi umesoma ulichoandika?
Kashauliwa, atahamaje? au ulimaanisha kashauriwa?
Unamaana gani mzee??
kweli hii ni weekend.hivi umesoma ulichoandika?