King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Nov 5, 2011 #21 Usijali,tutaomba msaada wa vifaru vya kufundishia russia. Wao hawana ile nongwa Bajabiri said: miaka 50 ya uhuru BAKITA haijafanikiwa,matumiz ya 'l' na 'r' ni janga tanzania Click to expand...
Usijali,tutaomba msaada wa vifaru vya kufundishia russia. Wao hawana ile nongwa Bajabiri said: miaka 50 ya uhuru BAKITA haijafanikiwa,matumiz ya 'l' na 'r' ni janga tanzania Click to expand...
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Nov 5, 2011 #22 BB,unafaa kufundisha elimu maalum level ya chuo kikuu! Kama hajaelewa basi banaa! Bujibuji said: Namaanisha hivi ukimnunulia simu mkeo, halafu usimwekee vocha, wajanja watamwekea vocha pia watamwekea katoto tumboni na virusi vya ukimwi kwenye damu Click to expand...
BB,unafaa kufundisha elimu maalum level ya chuo kikuu! Kama hajaelewa basi banaa! Bujibuji said: Namaanisha hivi ukimnunulia simu mkeo, halafu usimwekee vocha, wajanja watamwekea vocha pia watamwekea katoto tumboni na virusi vya ukimwi kwenye damu Click to expand...
ERIC JOSEPH JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 567 Reaction score 55 Nov 5, 2011 #23 We lazima ni wa huko facebook mana ndiko kuliko ja ujinga kama huna habari bora usome tu kuliko huo ujinga wako.hapo peupe peeeee
We lazima ni wa huko facebook mana ndiko kuliko ja ujinga kama huna habari bora usome tu kuliko huo ujinga wako.hapo peupe peeeee
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,244 Reaction score 1,741 Nov 6, 2011 #24 Huyo atakua kilaza w UDSM.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Nov 6, 2011 #25 Kama ndo mkeo kabanduliwa, naelewa situation yake haswa. Hata kitandani inaelekea unakurupuka ovyo ovyo halafu kwa kujisifia, nimepiga vitano leo wakati mwenzio hata hajaanza. Ovyoo
Kama ndo mkeo kabanduliwa, naelewa situation yake haswa. Hata kitandani inaelekea unakurupuka ovyo ovyo halafu kwa kujisifia, nimepiga vitano leo wakati mwenzio hata hajaanza. Ovyoo