Mke kawa mkatili kwa mumewe

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Afisa mkubwa wa serikali anayeish mjini moshi,ingawa alikua na makazi pia arusha i.e. Ana mke na watoto wa 3.mwaka juzi aliamua kuamishia familia yake arusha,ili yeye awe anakwenda mwisho wa wiki.Siku 1 katikati ya wiki aliamua kwenda kwake arusha,njiani akanunu mboga(nyama) ili awapelekee wanae wakale.Kufika nyumbani (arusha) alimkuta mzee mwenzake ndani ya chumba na mkewe,mwanamke akawa mkali kwanini ameenda siku hiyo.Mwanaume akamuita mwanae akampa ile nyama aipeleke jikoni,alafu yeye akaondoka.Huku nyuma yule mwanamke akaichukua ile nyama akaiwekea sumu ya panya,alafu akaipeleka police na kushtaki kuwa mme kaileta.Mpaka sasa kesi inaendele,Hivi ni kwanini huyu mwanamke amekuwa mkatili hivi.
 
Hizo ni akili zilizo pitwa na wakati.....Police kwani wajinga c wata investigate nani kafanya hayo.

Kuna kamsemo kakizungu kanasema; We always leave a fingerprint on every life we touch. Make sure your touch is gentle.

Yani hapo amekosa mengi huyo mwanamke, anakosa mme na anakosa hawara....C dhani kama atasalimika kwenda jela.
 
Mhhhhhhhhh! alikuwa mke au hawara! kuna mashaka hapa
 
Huyu mwanamke atakuwa lilekabila ambao hua wanawatanguliza waume zao kuzimu ili wao waachiwe mali.
 
MMMH, nina maswali milioni ya kijinga na ya maana.
Ntauliza badae..
 
swali litakuwa alijuaje kama kuna sumu ya panya ndio apeleke polisi?
polisi hapo watamla hela zake ukweli uko wazi
mzee atimue huyo mama arudi kwao akajifunze adabu na sidhani kama tena anafaa kuwa mke mwema
baba awachukue wanae akae nao kama nyumbani yao arusha bora apangishe amwondoe huyo kizazichabina
kaniudhi sana huyo.
 

swali la msingi.
 

Na nyama pia amekosa.
 
atakiona cha mtama kuni bora tu anagesepa zake kuliko kujitafutia makazi lupango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…