Mke kuficha hati ya kiwanja/nyumba

Hapa inaonekana mwanamke anatatizo lakini yote haya kwakuwa ndoa yenu nimbovu lakini pia watu wanajifunza kutoka kwawengine
 
Pole sana mkuu yote hiyo sababu mkeo amekupita kipato na shida huwa inaanzia hapo tukiwapita kipato ila sio wote

Tafuta hela mkuu ununue kiwanja chako na ujenge nyumba ya familia hiyo achana nayo
Shkamoo Shunie
 
Ila bana haya maisha yanatofautiana sana kuna mwanaume anaweza hata kujenga ukweni na anaona kawaida sana becoz asset sio kitu kwake labda pia ni kutokana na kutofautiana kipato...

Kuna jirani yangu yeye kamjengea mama mkwe nyumba tena nyumba ya gorofa moja huyo ni mama wa mke wake yan vitu vya nyumba sijui viwanja kwake anaona vya kawaida akikuta watu wanagombana kuhusu nyumba sijui ardhi ana washangaa labda ni vile Mungu kambariki kwa kweli pesa anayo yan sio ya kuungaunga...wakuu tutafute pesa tuache kulialia[emoji28]
 
Kuna mahala hauaminiki tena Mkuu. Hati utaiona atakapotoka/atakapohama huko mkoa wa jirani na kuishi hapo kwenye nyumba mliyojenga pamoja kama mama mwenye nyumba.
 
Hiyo sio mali yako hebu kua mwanaume jenga yako,hati ni yake hata kma ulichangia nyumba sio yako....unadhalilisha chama chetu cha mabaharia
 
Huna nyumba hapo mkuu Jenga nyumba yako
 
Hahhaha marahaba we mzee naona unataka kuzidi sasa kunizeesha
Hahahahahaaaaaaa

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kwakuwa umekiri wewe mwenyewe kuwa nataka kuzidi kukuzeesha bas una deni la kuilipa shkamoo yangu kwako na kwakuwa wewe ni mzee mwenzangu bas unajua namna na njia nzuri ya kuilipa hiyo shkamoo yangu kwako
 
Utakuwa na tatizo kwenye ubungo wako Mkuu, yani uchukue hela yako ukajenge kwenye kiwanja cha mwanamke?
 
Imekula kwako mkuu mali yako ni ya wote ila yake ni yake pekee tafuta hela unua kiwanja jenga nyumba ya familia
 
Hivi unawezaje kujenga kwenye Kiwanja cha mwanamke?????? Kuishi na mwanamke aliekuzidi kipato haya ndo majanga yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…