........mke kujua bei/gharama za g/house ama hotel ni kosa?

Wakati huyo mume anampiga mkewe alikuwa ana akili timamu au alikuwa ameshagida pombe?
alikuwa na castle lite mbili kichwani,uwezo wake wakunywa ni zaidi ya 17 hivi
 
you better be called light city,great thinking capacity,cheers
 
hakutakiwa kuchukua hatua za haraka kwa kukurupuka .. kwanza lazima aelewe hiyo g/house iko maeneo gani na je kuna uhusiano wowote kati ya mkeidi usipotezee na g/house???? ki kawaida inapofikia kwenye suala hili hata kama unafahamu guest gharama zake inab
 
you better be called light city,great thinking capacity,cheers

Mhhh Fabinyo,

Ruhusa ya kufanyiwa ubatizo mara ya pili nitaipata wapi?????.....

Ukiishi sana na kuyaona mengi utajua tu kwamba maisha ni upuuzi mwingi unaohitaji hekima zaidi ili kuushughulikia!!

Naamini siku tutafika tutafika Kigoma mwisho wa reli!
 
angeamalizia kabisa kwa kumpa na ukubwa na uzuri wa vitanda na aina ya magodoro....aache ushamba wake huyo jamaaa
 
Lakimi kweli alijuaje banaaaa?
bebii si kuna matangazo ya hoteli kwenye Tv na redio pia na magazeti?Pia anaweza kujua kupitia ndugu au rafiki au mikutano mabilmbali aliyo hudhuria..Hacheni jamani kujua mbona simple tu.Na je mwanaume yeye kweli hajui g.housi?Mwongo huyo
 
daaah lazima uwe na mashaka sasa kama hakuna wegeni anao pata na kuwapeleka huko hiyo bei ya guest kaijuaje hilo ndo swali. sasa mkuu vipi msala iliishia wapi
 
angeamalizia kabisa kwa kumpa na ukubwa na uzuri wa vitanda na aina ya magodoro....aache ushamba wake huyo jamaaa
duuh,jamaa angezimia nathani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…