Mke kuomba ruhusa kwa mume ili kusafiri, hata safari za kikazi - imekaaje? Mama Salma Kikwete huwa anaomba ruhusa! Je, Boss Ladies wanaomba ruhusa?

Sasa nawe Pasko unaanza kudata..
Tunashindwa kujua uko upande gani, either moto or baridi.
Juzi kati ulivokuja na jambo lako ulikua unaipamba system in every way, walivokukataa leo umekuja na hii mabujumbura daily na kumponda boss boss kijanja janja.
Anyway labda ndo povu lako, mimi subiri nikae pale pembeni, najua utagonga like kama kawaida, af niendelee kuangalia huu mtanange
 
Duuh Paskali, umekosa jambo la kuposti nini?
Hata iweje, 'uteuzi' kwako sahau!
 
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani wakiwemo wanawake hawa!.
P.
 
Kesho ni siku ya wanawake duniani, enyi wanawake ma boss ladies, kuweni wanyenyekevu kwa waume zenu!.
P
 
Leo ni siku ya wanawake duniani, enyi wanawake ma boss ladies, kuweni wanyenyekevu kwa waume zenu!.

Leo ni siku ya Wanawake Duniani, Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maadhimisho ya siku yao hii ya wanawake duniani wakiwemo wanawake hawa na Mwanamke huyu!.
Happy Women's Day all the beautiful ladies and the lovely ladies out there, na kwenye wanawake na siasa, nina Salaam zao Siku ya Wanawake: Baada ya Watanzania Kumchagua Rais Mwanamke, 2025, Je Tumchagulie na Wabunge na Wadiwani kufikia 50/50 kisha Tufute Viti Maalum?.
Paskali
 
Sikupingi mkuu.
 
Paskali,binadamu anapitia mabadiliko mengi.
Hapatatokea usawa hata siku moja Bali ubadilushaji wa kazi Kwa mda Fulani,mfano kumiliki Mali/kazi ama kutomiliki.
Sijui kama watu wanafikiri haki ya mama kumiliki mtoto/ ukoo ili kumdhurum Baba mbegu aliyotoa ili kupata mtoto huyo.
Naona hata mbuzi,kuku nk,mume hutongoza na kumiliki wake wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…