Wanabodi,
Traditional Africans mila na desturi, kwenye ngazi ya familia, mume ndie bread winner, ndie anayechagua mchumba, ndiye anayelipa mahari, ndie anaye oa, na kumhesabu mkewe ni mali take!. Mke naye husubiri kuchaguliwa, kuposwa, kulipiwa mahari na kuolewa.
Na ndani ya African families, role ya Mume ndie kichwa cha familia, indie the bread winner, na role ya mke ni kutunza familia, na traditional place, Nafasi ya mwanamke ni jikoni!, (woman's place is at the kitchen). Dini Pia zitatambua different roles and responsibilities kati ya meme na mke. Mume anawajibu wa kumpenda mkewe, na mke ana wajibu wa kumtii mumewe.
Katakana na mabadiliko ya kimaendele ya dunia, kumeanza kutokea changing roles, kwa baadhi ya wanawake ndio bread winners kwenye familia zoo, huku waume wakiwa idle, or jobless!, kuna baadhi ya wanawake ni mabosi magazine kwao.
Nikiwa jijini Bujumbura, Burundi, (Mimi ni miongoni mwa wale tulioitikia ule wito wa mmoja walą viongozi wetu kututaka tuhamie Burundi), Mama Salma Kikwete, amekuja hapa Bujumbura, kuhudhuria mkotano wa viongozi wanawake Bara Afrika.
Akihutubia mkutano huu Mama Salma anasema baada too ya kuupokea mwaliko huo, aliomba ruhusa kwa mumewe JK, akamruhusu, ndipo akasafiri.
Kauli hiyo ya Mama Kikwete, ya kuomba ruhusa kwa mumewe, imeshangiliwa ukumbi mzima na kumuonyeshea ni moja ya tabia nema za mke mwema
Swali ni jee ruhusa hii huombwa hata kwa safari za kikazi?. Jee ma Boss Ladies wengine wote akiwemo Boss la Boss, nao pia hula wanaomba ruhusa kwa waume zao?, au hawa wanawataarifu tuu wenzi wao?.
Baada ya kuipost hii video kwenye mitandao ya Jamie, imepata different reaction, hivyo kwa vile mimi sasa naishi hapa Bujumbura, Burundi, na Mama Salma Kikwete, bado lupo lupo hapa Bujumbura, nitamtafuta atufafanulie hili la mke kuomba ruhuna ya kusafiri!.
My Take
Kiukweli Kabila, upendo, util na unyenyekevu ni pillars kudumisha ndoa, kuna ndoa moja naifahamu ya jamaa fulani mmoja, al maarufu hapa nchini wa eni hizo!, ndoa yao ilivunjika kwa kitu kidogo sana, mume toka familia masikini alia mke toka familia tajiri, familia ya mke ikampatia binti Yao schollarship ya miaka 4 Marekani, mume hakushirikishwa ila aliarifiwa tuu!, and that was the end!, mpaka Leo mke yuko US, mume Bongo, ndoa chali!.
Kuna wanaume wengi wanapitia mateso na manyanyaso makubwa kutoka kwa wake zao amber ni ma bosi, ila wanaume wameumbwa na kabah, hawasemi!.
Ombi
Enyi wanawake ma Boss Ladies na wenye vipato kuliko waume zenu, msiwanyanyase wanaume zenu kwa dharau mapuuza, mateso na manyanyaso, mkitaka kusafiri ambeni ruhusa kama Salma Kikwete, na mara moja moja when not bussy, muingie jikoni mpike!, umeme ukikatika mpeleke maji ya kuoga bafuni!.
Viva Salma Kikwete....
Viva!.
Viva Wake Wema Wote
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.