Mke Kuomba Ruhusa kwa Mume, ili Kusafiri Hata Safari za Kikazi!, Imekaaje?. Mama Salma Kikwete Huwa Anaomba Ruhusa!. Je Boss Ladies Wanaomba Ruhusa?.

Boss la boss siku nyingi sana alikata hizo 'ties' ndio maana baba akamuolea wake watatu....

Wengi wanamsema sasa ila tangu akiwa kwenye ma NGOs yake boss la boss aliishi ki jikeshupa. Naishia hapo.
 
Yaani sisi tukujibie habari za mama Samia na mumewe kweli, wewe zinakuhusu nini
 
Kwa mke wa kiislamu usiulize ni lazima, raha ya mke na mme iko kwenye dini ya wenzetu, kwetu ni ndoa ni vita wote ni ma boss nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…