Mtimue, na hao uliodhani umezaa naye kawapime DNA, unaweza ukakuta mtoto wako ni mmoja tu hapo.
Kwetu sisi tunaoamini biblia inasema, mke hataachwa bali kwa uzinzi. Kuzaa nje ya ndoa ni uzinzi. Weka mbali na tembo huyo mwanamke!
uzinzi au uasherati? maana kuna tofauti
Mimi nime kaa na mke kwa miaka kumi na nne sasa na tuna watoto wanne, lakini mwanzoni mwa mwaka huu mke alitoroka nyumbani na kwenda kwao na kukaa huko kwa miezi saba hivi, lakini aliporejea nilibaini kuwa ana uja mzito wa kama miezi mitano lakini kwa sasa amejifungua na imethibitika kuwa si mtoto wangu, uamuzi wangu ni kumtaliki hivyo naomba msaada kama niki mtaliki atakuwa na haki zozote juu ya mali yangu maana kwa sasa nina hali mbaya ki uchumi na nina miliki nyumba moja tu na ndiyo inayo tuhifadhi na watoto
UWACHWEEEEE UPUMUWEEEEE NA HUKO KUTOKUHUSIKA KWAKO KWENYE KILA ISSUE! LOL! najichekea hapa tu, watu wengine kuishi nao ni mtihani tosha, then uongezewe na maisha, lazma upate 0! khaaaaa!Hayatuhusu.
Pole ndugu kwa mkasa mkubwa uliokukuta.. Kipi kilimfanya mkeo akimbie miezi yote hiyo kwao. Pili je mmekuwa na ugomvi wowote hapo kabla, swala lako lazima lianzie kwenye baraza la usuluhishi kabla ya kwend mahakamani ili upate cheti cha ndoa yako kuvunjika, na vitakavyo ithibitishia mahakama kuwa talaka inafaa ni uhusiano wenu hapo kabla maana kuwa na mtoto tuu wa nje si kigezo cha TALAKA..ukifanikiwa kumtaliki nyumba yaweza kuwa ya familia ambayo weye unaweza kuamrishwa umpishe mkeo.
Ahsante kwa maoni yako lakini hiyo ni sawa na kuhalalisha uzinzi, sasa kigezo gani kina weza tumika kuhalalisha uzinzi na kupendekeza mume ndiye atoke kwenye nyumba na wakati aliye kosea ni mke.
Mimi nime kaa na mke kwa miaka kumi na nne sasa na tuna watoto wanne, lakini mwanzoni mwa mwaka huu mke alitoroka nyumbani na kwenda kwao na kukaa huko kwa miezi saba hivi, lakini aliporejea nilibaini kuwa ana uja mzito wa kama miezi mitano lakini kwa sasa amejifungua na imethibitika kuwa si mtoto wangu, uamuzi wangu ni kumtaliki hivyo naomba msaada kama niki mtaliki atakuwa na haki zozote juu ya mali yangu maana kwa sasa nina hali mbaya ki uchumi na nina miliki nyumba moja tu na ndiyo inayo tuhifadhi na watoto
ndugu divorce haipatikani tu kirahisi..bongo..may be separation nayo ni kwa mbinde sana..kama vipi vumilia tu afu unamsamehe...tu..haya maisha..tuMimi nime kaa na mke kwa miaka kumi na nne sasa na tuna watoto wanne, lakini mwanzoni mwa mwaka huu mke alitoroka nyumbani na kwenda kwao na kukaa huko kwa miezi saba hivi, lakini aliporejea nilibaini kuwa ana uja mzito wa kama miezi mitano lakini kwa sasa amejifungua na imethibitika kuwa si mtoto wangu, uamuzi wangu ni kumtaliki hivyo naomba msaada kama niki mtaliki atakuwa na haki zozote juu ya mali yangu maana kwa sasa nina hali mbaya ki uchumi na nina miliki nyumba moja tu na ndiyo inayo tuhifadhi na watoto