Pole ndugu kwa mkasa mkubwa uliokukuta.. Kipi kilimfanya mkeo akimbie miezi yote hiyo kwao. Pili je mmekuwa na ugomvi wowote hapo kabla, swala lako lazima lianzie kwenye baraza la usuluhishi kabla ya kwend mahakamani ili upate cheti cha ndoa yako kuvunjika, na vitakavyo ithibitishia mahakama kuwa talaka inafaa ni uhusiano wenu hapo kabla maana kuwa na mtoto tuu wa nje si kigezo cha TALAKA..ukifanikiwa kumtaliki nyumba yaweza kuwa ya familia ambayo weye unaweza kuamrishwa umpishe mkeo.
Ahsante kwa maoni yako lakini hiyo ni sawa na kuhalalisha uzinzi, sasa kigezo gani kina weza tumika kuhalalisha uzinzi na kupendekeza mume ndiye atoke kwenye nyumba na wakati aliye kosea ni mke.
kwakuwa Mimba imeonekana ,so mojakwamoja anaonekana ana makosa,JE WEWE UKO MKAMILIFU HUJAWAHI KUZINI ,OR KUTEMBEA NJE YA NDOA,SAMEHE TU ,ATAONDOKA MWENYEWE BILA GHARAMA YA KESI.