asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
aksante ,hapo kwenye tabia nzuri utazipimaje? kuna watu wanasura za upole na muonekano wa heshima na heshima zingine ila wanagawa sana.70% awe mzuri wa nje , 20% tabia nzuri ! 10% mtazitafuta wawili kwa njia zote !! Dat material wife !
nimesikia mara nyingi sana sisi wanaume tunapotaka kuchagua mwanamke wa kuoa tunadai mke material.....nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hili ,wadau naomba mnipe somo hapa.
hivi huyu mke material ni mke wa aina gani?
anapatikana vp , je tunazingatia past ,present au future kudetermine?
utamjuaje kuwa huyu uliyenaye ni mke material?
je ni kweli wanaume tunaoa mke material au huwa tunaamua kujilipua tu linapokuja suala la kuoa?
ww ndo upoje sasa?kama mm ivv.
Tafuta ka-bint ka-Kipare au kimachame kanaweza kakakufundisha mke material ni yupi.70% awe mzuri wa nje , 20% tabia nzuri ! 10% mtazitafuta wawili kwa njia zote !! Dat material wife !
Hapa nimetoka kapa kabisaaaaa!Songíto;3019183 said:ni yule ambaye anajua unataka nini na kwa wakati gani....anayekuheshimu na kujali hisia zako, kwa upande mwingine ni mvumilivu na mwenye kupenda nguduzo....
kwamfano km anahizo sifa zote ulizozitaja hapo juu ,lkn kabla ya kukutana na ww alikuwa anagawa uroda km pipi ,vp bado atakuwa na sifa za kuwa mke material?utamujua tuu jinsi anavyo jibeba na jinsi anavyo watreat wazazi na wattu wengine...je anawweza ku sacrifice na kujituma?? vitu kama hivyo
Hapa nimetoka kapa kabisaaaaa!
umejuaje mkuu na nini ni sifa zao?Wapo wengi tu humu ndani ma wife material kina Asha dii, Smile, Feisbuku, Husninyo, Lizzy, Mwali, Gaga, Afrodenzi...
thnks at least now am getting somewhere kwakweli na pia i hv seen sniper n el toro ww ni mmojawapo wa wife material humu jf.Kitambo ndio ilikua inazingatiwa saana sifa za mwanamke wa kuoa, vikiangaliwa vitu kama tabia.... Familia aliotoka pamoja na tabia ya hio familia na ukoo mzima... Kabila na mmengine meeengi. Siku hizi watu wanaoana out of mazoea... Inafanya hilo neno material wife kidogo libadilike.... For huwezi wewe mwanaume una tabia za ovyoooo saaaaana na ukataka mwanamke alotakasika (as in mwenye tabia njema in each of her sphere)....
Kwa mkadha huo, Naweza sema material wife ni yule mwanamke ambae umempenda... Mkaendana tabia, mkasomana na kuelewana your weaknesses na jinsi ya ku-handle one another.. No matter jamii inasemaje juu ya ndoa yenu; kikubwa muwe mmeridhia.... Nakupa mfano kuna ndoa zingine Mke kiruka njia, mume chovya chovya... Wooote wanywa pombe na woote once in a while waweza lala hata bar... Kila mmoja asijue mwenzie yukwapi (somethimes) But pale inapo matter.... Kuishi ndani, unyumba, watoto, they are compactable na kila mmoja amuona mwenzie wa kawaida.... Hapo that wife is a perfect material wife to the hubby for they have an understanding....
thnks mkuu maneno yako ni mazito sana na yanajenga inabidi nizingatie japo kupata kiumbe mwny hizo sifa zote hapo ni shughuli pevu kwny hii jamii yetu.kwanza inabidi ujue wanaume wengi tunatawaliwa na macho ktk mambo ya mapenzi. hivi kila mwanaume anavyo vipaombele vyake kadiri macho yake yanavyomwonesha. mwingine akiona makailo mabubwa basi ndio hapo, mwingine akiona mwanamke mwembamba nae atasema chake, mwingine akiona cheupe, basi nae atafia hapo, mwingine akiona kimesoma kidogo nae anabebana nae. Lakini kadiri yangu mimi kwanza tabia, pili upendo si kwangu tu hata kama mimi sipo basi wale atakao kuwa nao aishi nao vizuri. tatu mshiriki mzuri yaani penye uzuri achangie na penye ubaya akemee, nne awe anatoa mawzo ya maendeleo au awe anajishughulisha kujikwamua kimaisha, n.k. hayo ni machache tu lakini kuna mengine mengi.
thnks at least now am getting somewhere kwakweli na pia i hv seen sniper n el toro ww ni mmojawapo wa wife material humu jf.
kuna swali napenda kuuliza ,kwamfano mmependana na mnaendana mambo mengi ila mwenzako kakuambia past yake yote kama confession na anahidi ataacha tabia flani flani ,je km mwanamke alikuwa ni malaya hapo zamani anaweza kuacha kweli from experience yako na mashostito wako?
nimesikia mara nyingi sana sisi wanaume tunapotaka kuchagua mwanamke wa kuoa tunadai mke material.....nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hili ,wadau naomba mnipe somo hapa.
hivi huyu mke material ni mke wa aina gani?
anapatikana vp , je tunazingatia past ,present au future kudetermine?
utamjuaje kuwa huyu uliyenaye ni mke material?
je ni kweli wanaume tunaoa mke material au huwa tunaamua kujilipua tu linapokuja suala la kuoa?