Mke material ni yupi?

...ni yule ambaye wewe mwenyewe binafsi (bila ushawishi wa mtu) unamkubali hata kwa mapungufu yake...
 
its true humu jamvini almost kila mmoja ni mtakatifu ,,,,km mtu unaanzia hapa is just a startng point of long journey!
 
mmh! Hii mada ni ngumu kiasi
kuna wakati unaona mtu kaoa afu wewe mwingine unawaza kaona nini hapo
kwa unachotafsiri mwanamke wa kuoa kwako ukiangakia na alichooa mwenzako unaona hamna kitu kabisa

kwa kifupi wife material ni mwanamke ambaye unaweza ishi naye kama alivyo.
 
kongosho umenielewa exactly wat am talking about....ndo maana me naona ni km vile mtu ukisharidhika at least huyu atanifaa basi unaamua kujilipua tu ,liwalo na liwe.
 
halafu miezi miwili au mi3 baada ya harusi mnaachana, ndo uzuri wa kujilipua huo
 
hata hivyo saiv mbona talaka zimezidi siku hizi.mm nimeshaona watu wanaoana ambao kwa mtazamo wangu na wa raia wengine wanachukulia ni chaka,,,,,,,,anyway mambo yote ni maelewano ya wanaochaguana.
 
ukiridhika, ni kujilipua tu
after all kila mtu ana mapungufu hata wewe mwenyewe.

kongosho umenielewa exactly wat am talking about....ndo maana me naona ni km vile mtu ukisharidhika at least huyu atanifaa basi unaamua kujilipua tu ,liwalo na liwe.
 
Tafuta ka-bint ka-Kipare au kimachame kanaweza kakakufundisha mke material ni yupi.

Hao wazuri kweli kitandani halafu wanapenda sana mechi so utapiga round za kutosha tofauti na wale wa round mmoja tu anadai kachoka....wapare ninaowajua miye wanafaa kweli kuwa wife,ni wapole,watiifu,wachapa kazi
 
na wewe ni thithi baba thao na mama thao nn?
 
Kila mtu na vigezo vyake. Wengine wakiona mwanamke ni mchapa kazi wanaona huyo ndio mke material, wengine tabia, uzuri wa nje, wengine wanajilipua tu. Hivi mme material nae yupoje jamani?
 
mm mwnyw napata kizunguzungu tu hapo ,hivi utajuaje tabia ya mtu km yy mwnyw hajaamua kukuonesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…