Mke/Mchumba anahitajika

germanium

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
776
Reaction score
1,116
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-36.
2. Awe amesoma atleast Degree na kuendelea (masterz, PhD).
3. Awe kajiajiri au muajiriwa.
4. Dini yeyoye na asiwe na misimamo mikali ya dini.
5. Awe mtu mwema na open minded.
6. Asiwe mwenyeji wa Singida,Manyara.

Mimi:
1. Nina degree ya Engineering.
2. Nimeajiliwa
3. Nina miaka 34.
4. Ni mkristo

Karibu tuwasiliane PM kwa hatua za awali
 
Unge ongelea kipato chako pia kwa mwezi ingependeza pia ili mtu aweze kujipima uzuri wa sisi wanaume ni wallet......kupata wa PhD lazima kipato kiwepo sio sigle digital salary
 
Unge ongelea kipato chako pia kwa mwezi ingependeza pia ili mtu aweze kujipima uzuri wa sisi wanaume ni wallet......kupata wa PhD lazima kipato kiwepo sio sigle digital salary
kipato ni cha kati
 
Wee mwamba unatuangusha wanaume! Unakuja jukwaani kulialia eti unatafuta mwanamke? Shitiii! Waache akina 'ke' kwani kwao kuolewa ni fursa! Mwanaume kama unajimudu huwezi kukosa mwanamke! Ukiona unakosa basi kuna kitu kimepungua katika kiwango ambacho hata ukioa huwezi kummudu huyo mke!
 
mainjinia wengi ni madomo zege nafikiri hesabu zimetuharibu sana ila nashukuru sana ndugu yangu kwa kunipigia pande
 
mainjinia wengi ni madomo zege nafikiri hesabu zimetuharibu sana ila nashukuru sana ndugu yangu kwa kunipigia pande
Aisee ila kweli maana ata mie before nilikuwa nashusha integration kama piece of cake ila sasa kuja kutongoza demu mhmm mtihani.
Yaani bila mig33, tinder badoo hi5 na jf naona mpaka leo nisingejha mbususu inafananaje🤣🤣🤣🤣🤣
 
Una hoja..Nimelipokea Mkuu nalifanyia kazi
 
Aisee ila kweli maana ata mie before nilikuwa nashusha integration kama piece of cake ila sasa kuja kutongoza demu mhmm mtihani.
Yaani bila mig33, tinder badoo hi5 na jf naona mpaka leo nisingejha mbususu inafananaje🤣🤣🤣🤣
Well said mate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…