Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Wewe na mimi tupo hivi....π€π€π€Poor Brain ujobless unanikosesha mume dada ako π₯π₯π₯ nitafutie kaz
Wee ushaolewa au.... ππππWake watarajiwa mnaitwaa huku, kuna mume anawatafutaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mpaka leo ujapata mume....Nivumilie bas mwakan nafunga 25 puliiiizz π₯π₯
ππππ Mama mwanahawa ua mwanahamisi au mwanayazimklisto na umejiajili vimeikosesha mume.
mwanakomboππππ Mama mwanahawa ua mwanahamisi au mwanayazi
Acha zako wewe πππUsiwaze, mi mwenyewe naoa mhaya, na yuko vizuri, mtoto pisi kali, wife material. Be who you are.
Ajira zipo...mwanakombo
kwani na ww unatafuta mke au kunichosha kama tuko mahakamani?Ajira zipo...
Je dini kubadili upo tayari uanze kula mbuzi katoliki πππππππ
ππππππkwani na ww unatafuta mke au kunichosha kama tuko mahakamani?
ivi et ni kweli irene paul amefariki??Wake watarajiwa mnaitwaa huku, kuna mume anawatafutaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niolewe mara ngapi sasa? [emoji23][emoji23][emoji23]Wee ushaolewa au.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Irene Paul huyu? Mbona sijaona in4 kuhusu? Em ngoja nikafukunyue kwani nijue kulikoni.h
ivi et ni kweli irene paul amefariki??
Hata mara tatu sio mbaya...Niolewe mara ngapi sasa? [emoji23][emoji23][emoji23]
NATAFUTA MKE UWE UNAISHI DAR UWE KABILA LOLOTE KASOLO MUHAYA UWE MKRISTO KAMA SIO KUAJILIWA UWE UME JIAJILI UMRI 25_32
[emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiii?Hata mara tatu sio mbaya...
Mi naona poa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi naogopa hidaya tuu ..[emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiii?