Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kwa hiyo watu wasichague au???Acha ukabila this is not preference but racism
Say no to racim
Racism ndio nini wahaya ni wazungu wa wapiAcha ukabila this is not preference but racism
Say no to racim
Aje anipe raha mi, asiwe ana chakachua, Sababu ya ulofanataka jiko jiko la peke yangu mimi
si kila mtu anapikia
ila nawew utakua muankoπππππππππ Unataka nibubujikwe na machozi ya furaha
Sawa kijanaDar kuna wadangaji tu na mashangazi.
Ndo hicho mi nakiogopaila nawew utakua muankoππ
Haya shangaziSawa kijana
With a degree on it!And... Am certified shangazi
Safe journey ππΎππNdo hicho mi nakiogopa
mi nataka ant sasa hivi.....
ππππ Ant wa haja an so poua
ShukranSafe journey ππΎππ
asante djAje anipe raha mi, asiwe ana chakachua, Sababu ya ulofa
huyohuyo sofia wa siri, unaniangusha uko daslam au nanjilinji?? nimeskia leo kuingia kwa page ake nakuta hajapost since nov 23 2023 kuna comment ikamuuliza kuna sehem nimesikia umefariki, ukipata jibu niambieIrene Paul huyu? Mbona sijaona in4 kuhusu? Em ngoja nikafukunyue kwani nijue kulikoni.
Hapanaaa!! Hajafarikihuyohuyo sofia wa siri, unaniangusha uko daslam au nanjilinji?? nimeskia leo kuingia kwa page ake nakuta hajapost since nov 23 2023 kuna comment ikamuuliza kuna sehem nimesikia umefariki, ukipata jibu niambie
una uhakika mahi??Hapanaaa!! Hajafariki
Yess!!una uhakika mahi??
em mwambie aseme kitu mana mimi kuna mtu leo aliniambia alinichanganya mana nampenda kama shabiki yake japo sio kindakindakiYess!!
Hajafariki bhana, labda hataki tyuu kupost vitu mtandaoni.em mwambie aseme kitu mana mimi kuna mtu leo aliniambia alinichanganya mana nampenda kama shabiki yake japo sio kindakindaki
I bet you meant "Tribalism".Acha ukabila this is not preference but racism
Say no to racim