Mke/Mme ulimpata katika mazingira yapi?

Tulikutana stand fulani ya jiji fulani. Yeye anaenda sehemu fulani nami nilienda kupokea parcel. Nilivutiwa naye sana. Nikamsalimia akakubali. Hapo alikuwa amekaa kwenye vibanda vya abiria wanaosubiri nami ilibidi nikae kupata habari zake kwa ufupi finally tukapeana namba na haikuzidi miezi 6 tukawa tumefunga ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…