John Madela anahitaji aoe mke wa kinyaturu huko singida ameahidi kumpa sh 150,000 (Laki moja na nusu) cash yeyote atakaye msaidia kupata mke kutoka kijijisi sio mjini.
Sifa za John Madela
umri 38, mrefu, maji ya kunde, anaishi Sanya Juu wilaya ya Hai, kabila msiha.
Sifa za msichana:
Awe mrefu mnene kidogo, awe bikira, awe na umri wa miaka kuanzia 25-40 kama yupo, asiwe anapaka cream za kujichubua, awe anajua kazi za shamba, hata akiwa na mtoto 1 sawa, akiwa tasa sawa hamna shida.
Ustaarabu jamani hili ni ombi amevutiwa sana na hawa wanyaturu.