Toa vigezo vyake alivyo, uwe serious, asiwe amekaa sana mjini atakuwa amejifunza zile tabia au kama ni geti kali ila bado hajajichanganya sawa serious mattermininae mdogo wa mke wangu yupo mjin
wakikubaliana na wanaongea vizuri atapewa iyo pesa akupe, kuolewa ni ndani ya miezi 4 au 6 tuToa vigezo vyake alivyo, uwe serious, asiwe amekaa sana mjini atakuwa amejifunza zile tabia au kama ni geti kali ila bado hajajichanganya sawa serious matter
Unganisha sio kuelekeza na uliyemuunganisha akikubaliana basi atapewa yeye atakupa maana atapewa yeye akupe si utakuwa na namba zake na utamfuatiliaPale kijjini Morogoro niliwaone wanyaturu wakiwa wamevaa nguo nyeusi nadhani watakufaa. Walikuwa wakichunga ng'ombe so fika Morogoro japo Morogoro yenyewe kubwa lakini kwa kuwa unamtafuta na umeahidi kitita inabidi unitafute unipe kitita changu kwanza ndo nikuelekeze alipo.😀
Sasa mkuu si bora ungesema tu kwamba akutongozee huyo demu wa kijijini halafu wewe utampa hela huyo demu ili akalipe kwa mtongozeaji wako. Hili jipu sasa.Unganisha sio kuelekeza na uliyemuunganisha akikubaliana basi atapewa yeye atakupa maana atapewa yeye akupe si utakuwa na namba zake na utamfuatilia
Sasa mkuu si bora ungesema tu kwamba akutongozee huyo demu wa kijijini halafu wewe utampa hela huyo demu ili akalipe kwa mtongozeaji wako. Hili jipu sasa.
Walivyo wa malayani mh
mnakatisha tamaa inbox full detailsKila la kheri utampata tu lakin sijui kama mtawezana tabia
wanyaturu safi sana usiskize hao makungwi.mnakatisha tamaa inbox full details
Mh kumtafutia BIKRA kwa 75000 ni utaniJohn Madela anahitaji aoe mke wa kinyaturu huko singida ameahidi kumpa sh 75,000 cash yeyote atakaye msaidia kupata mke kutoka kijijisi sio mjini, anaogopa wasichana wa mjini ni pasua kichwa, wakijijini wana adabu zile za kuchuchumaa chini na kumsikiliza mume na kuyapanga yao na mume hawana maneno mengi na makubwa.
Sifa za John Madela
umri 37, mrefu, maji ya kunde, anaishi Sanya Juu wilaya ya Hai, kabila msiha.
sifa za msichana:
Awe mrefu mnene kidogo, awe bikira, awe na umri wa miaka kuanzia 28-37 kama yupo, asiwe anapaka cream za kujichubua, kama hatakuwa bikira basi asiwe na mtoto, awe anajua kazi za shamba.
Ustaarabu jamani hili ni ombi amevutiwa sana na hawa wanyaturu.
Ya kweli haya Rubii?Walivyo wa malayani mh
hizo ni tabia zake mbovu binafsi, sio tabia za kabila hilo. blaza ameoa mnyaturu amezaa nae watoto watatu na amani imejaa tele.. uhuni ni hulka ya mtu.kuna rafiki yangu anae ,tena hataki hata pesa atampa bure kabisa,imekuwa bahati umetangaza hapa ni pm tu nikuunganishe nae maana alivyomchoka atampelekea kokote alipo.
ila usia alionipa katika maisha yangu nisije kuowa kabila hilo sijui kuna ukweli