maulana majaliwa
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 261
- 141
[emoji2][emoji5]Walivyo wa malayani mh
Rubi VIP hutaki mwenzako apate mke msaidieni mwenzenu mwezeshe kama unaweza
Ya kweli haya Rubii?
Jaribu uone!
Kwahiyo wapi naweza kupata ambao hawana hako katabia kakinyaturu?Jaribu uone!
Kwahiyo wapi naweza kupata ambao hawana hako katabia kakinyaturu?
Aisee ngoja nijongee huko nikajibebee wife materialMwanza
🤣🤣🤣Wewe jamaa, unadhan hawa wakishaunganisha mitambo yao kuna wa kukumbuka hapo?Unganisha sio kuelekeza na uliyemuunganisha akikubaliana basi atapewa yeye atakupa maana atapewa yeye akupe si utakuwa na namba zake na utamfuatilia