Kwa ufupi sana ni kwamba mke mtarajiwa na ambaye yuko very serious kwa ajili ya kuanzisha uhusiano na baadaye kuoana, ninamuhitaji sana tena sana.
Kwa upande wa sifa anazotakiwa kuwa nazo ni pamoja na yeye awe na umri wa kuanzia miaka 25 hadi 34 maana mimi nina 35, awe muelewa katika masuala ya maisha. Mengine mengi tutawasiliana na kujuzana.
Kwa upande wangu mimi ni muhitimu wa chuo, nimejiajiri mwenyewe size yangu ni wasitani na ninaishi hapa Dar es Salaam. Hivyo, aliye tayari tafadhali anicheki ili tuweke mambo sawa.
Nawatakieni siku njema.