LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Habarini wadau.Nisipoteze muda, nachukua nafasi hii kuweka hapa rasmi, mke mwema anahitajika.
Umri wa mume mtarajiwa Ni 36 yrs, mkristo Safi, Elimu Ni graduate..., Mwajiriwa idara X.
Mwanamke mtarajiwa sifa zake.
-Awe na umri kuanzia miaka 25-30,
-Awe mkristo wa dhehebu lolote akiwa mkatoliki itapendeza zaidi,
-Elimu kuanzia certificate kwenda mbele
-Awe kabila lolote isipokuwa mhaya au msukuma(sorry kwa hao, haahaa)
-Awe tayari kuicheki afya
Kwa aliye serious tu aje inbox,
Wengine waweza comment hapa Chini maoni yenu, ndo demokrasia hyo.karibuni