Mke mtarajiwa anahitajika

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
10,482
Reaction score
14,007
Habarini wadau.Nisipoteze muda, nachukua nafasi hii kuweka hapa rasmi, mke mwema anahitajika.
Umri wa mume mtarajiwa Ni 36 yrs, mkristo Safi, Elimu Ni graduate..., Mwajiriwa idara X.

Mwanamke mtarajiwa sifa zake.
-Awe na umri kuanzia miaka 25-30,
-Awe mkristo wa dhehebu lolote akiwa mkatoliki itapendeza zaidi,
-Elimu kuanzia certificate kwenda mbele
-Awe kabila lolote isipokuwa mhaya au msukuma(sorry kwa hao, haahaa)
-Awe tayari kuicheki afya
Kwa aliye serious tu aje inbox,
Wengine waweza comment hapa Chini maoni yenu, ndo demokrasia hyo.karibuni
 
Kwani wewe ni kabira gani? Asie penda wasukuma na Wahaya
 
Haahaa utawapata tu mkuu...
Bob kama haupo Dar omba likizo ya siku 30 nenda Dar halafu mingle maeneo ya kituo cha Posta Mpya kuanzia saa tisa mchana mpaka saa moja usiku.

Kituo kingine cha mingle kifanye kiwe Makumbusho stand, na pale nenda mida hiyo hiyo au asubuhi.

Mi nichukue kama mdogo wako niwe nakusaidia kuspot wenye vigezo na kukupigia promo. Ndani ya siku tano tunahakikisha una watu watano mezani ambao wife atatokea hapo.
 
Haaahaa, mkuu Asante kwa ushauri wako, lakini mke anapatikana dar tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…