Mke mtarajiwa anatafutwa

Mke mtarajiwa anatafutwa

Richie one

Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
28
Reaction score
63
Wanajf mimi ni kijana mkazi wa Arusha miaka 37, msomi kias na pia mjasiriamali, maji ya kunde na mrefu kiasi, mkiristo.

Future wife awe na sifa hizi;
~ Miaka 32 kushuka.
~ Mweupe (weupe asili).
~ Asiwe mrefu sana wala mfupi.
~ Asiwe mnene sana.
~ Mkirsto.
~ Anayejielewa na kujua maana halisi ya kuwa mke wa mtu.
~Walau form four elimu yake.
~ Mchapa kazi aungane na mjasiliamali mimi.
 
wanajf mm ni kijana mkaz wa arusha miaka 37, msomi kias na pia mjasiriamali, maji ya kunde na mrefu kias, mkiristo.

future wife awe na sifa iz

miaka 32 kushuka
mweupe ( weupe asili)
asiwe mrefu sana wala mfup
asiwe mnene sana
mkirsto
anayejielewa na kujua maana halisi ya kuwa mke wa mtu
walau form four elim yake
mchapa kaz aungane na mjasiliamali mm.

karibu future wife
 
Wanajf mimi ni kijana mkazi wa Arusha miaka 37, msomi kias na pia mjasiriamali, maji ya kunde na mrefu kiasi, mkiristo.

Future wife awe na sifa hizi;
~ Miaka 32 kushuka.
~ Mweupe (weupe asili).
~ Asiwe mrefu sana wala mfupi.
~ Asiwe mnene sana.
~ Mkirsto.
~ Anayejielewa na kujua maana halisi ya kuwa mke wa mtu.
~Walau form four elimu yake.
~ Mchapa kazi aungane na mjasiliamali mimi.
Nikifikiria mke wangu miaka ile nilivyompata kwa mbinde,hakuna smartphone,hakuna mitandao ya kijamii,yani siku hizi unaandika tu nahitaji mke,baada ya nusu saa inbox imejaa unajichagulia tu unayemtaka...
 
Mtaani,ulipo kwenye kazi,dalala,chimbo,kijijini na pengine umekosa !?
 
Habari za jioni, mimi ni kijana mjasiriamali naishi Arusha miaka 36, mkristo, maji ya kunde , c mrefu wala mfupi na mwembamba kias.

sifa za mwanamke
Mweupe wa asili, c mrefu wala mfup, mwenye akili za maisha, elimu walau form four. aliye tiyar tukutane Pm
 
habar za jion, mm ni kijana mjasiriamali naish Arusha miaka 36, mkristo, maji ya kunde , c mrefu wala mfupi na mwembamba kias.

sifa za mwanamke
Mweupe wa asili, c mrefu wala mfup, mwenye akili za maisha, elimu walau form four. aliye tiyar tukutane Pm
 
Ndg nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya muungano was Tanzania. Kama tamisemi au watu wanaohusika na tamisemi naomba mnipe ufafanuzi juu ya posho ya kujikimu kwa watumishi was ajira mpya, ukisoma standing order kifungu L.6 kinatamka posho italipwa ya siku 14 lakini halmashauri nyingi nchini wanalipa siku 7.Je kipi ni sahihi?

Screenshot_20230921-112103.jpg
 
Nikifikiria mke wangu miaka ile nilivyompata kwa mbinde,hakuna smartphone,hakuna mitandao ya kijamii,yani siku hizi unaandika tu nahitaji mke,baada ya nusu saa inbox imejaa unajichagulia tu unayemtaka...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom