Richie one
Member
- Aug 12, 2015
- 28
- 63
wanajf mm ni kijana mkaz wa arusha miaka 37, msomi kias na pia mjasiriamali, maji ya kunde na mrefu kias, mkiristo.
future wife awe na sifa iz
miaka 32 kushuka
mweupe ( weupe asili)
asiwe mrefu sana wala mfup
asiwe mnene sana
mkirsto
anayejielewa na kujua maana halisi ya kuwa mke wa mtu
walau form four elim yake
mchapa kaz aungane na mjasiliamali mm.
karibu future wife
Nikifikiria mke wangu miaka ile nilivyompata kwa mbinde,hakuna smartphone,hakuna mitandao ya kijamii,yani siku hizi unaandika tu nahitaji mke,baada ya nusu saa inbox imejaa unajichagulia tu unayemtaka...Wanajf mimi ni kijana mkazi wa Arusha miaka 37, msomi kias na pia mjasiriamali, maji ya kunde na mrefu kiasi, mkiristo.
Future wife awe na sifa hizi;
~ Miaka 32 kushuka.
~ Mweupe (weupe asili).
~ Asiwe mrefu sana wala mfupi.
~ Asiwe mnene sana.
~ Mkirsto.
~ Anayejielewa na kujua maana halisi ya kuwa mke wa mtu.
~Walau form four elimu yake.
~ Mchapa kazi aungane na mjasiliamali mimi.
Chimbo si ndo hapa Sasa anatafuta!Mtaani,ulipo kwenye kazi,dalala,chimbo,kijijini na pengine umekosa !?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikifikiria mke wangu miaka ile nilivyompata kwa mbinde,hakuna smartphone,hakuna mitandao ya kijamii,yani siku hizi unaandika tu nahitaji mke,baada ya nusu saa inbox imejaa unajichagulia tu unayemtaka...