Mke mtarajiwa

Mke mtarajiwa

shakur homes

Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
28
Reaction score
4
Msichana anayetaka kuolewa anicheki 0677287265 na miaka 25 . kabila lolote dini yeyote umri miaka mwisho 24 .mim ni mtumixh wa kuajiliwa ktk sekta flani kama upo serious piga namba hiyo
 
Mkuu yaani mtu wa kuolewa akucheki ukiwa hivi..??
ukipata nakuongeza na Shunie

upload_2017-4-28_16-0-20.jpeg

Sawa wamekusikia.
 
Acheni kumbania jitokezeni mkakate kate vitunguu getto
 
Unatafuta kipozeo baada ya kukutwa na vyeti feki. Any way sema ni Mwl tu upunguze stress.
Ujue majina yenu hayatawekwa wazi bali benki hakutasomeka.
Haaaaaaah , nakutania tu DUDE
 
Back
Top Bottom