AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Hahahahah hapana aiseekama hana K utamkubali ?
kwann amuogope 'allah'Bint wa kiislam mwenye nia ya kuolewa...awe ana uelewa wa dini ya kiislam vizuri. AMUOGOPE ALLAH.
Swala awe ana swali.
Stara na ajiheshimu.
Awe hajawahi olewa.
Awe hajazaa.
Asiwe na historia chafu.
Umri kuanzia 17-22.
Apatikane Dar, Moro, Pwani, Tanga, Lindi, Kondoa & Mtwara.
Angalau Elimu ajue kusoma na kuandika tu.
Ni PM. TUELEZANE MENGINE.
NB;-
USIWE NA SHAKA...MIMI NINA SIFA HIZO KWENYE DINI.
Sijawahi oa ndio nataka nioe. SINA MTOTO.
ELIMU NIPO MBALI KIDOGO.
Kweli elimu uko mbali ndo maana unatafuta vitoto ambavyo bado viko masomoniBint wa kiislam mwenye nia ya kuolewa...awe ana uelewa wa dini ya kiislam vizuri. AMUOGOPE ALLAH.
Swala awe ana swali.
Stara na ajiheshimu.
Awe hajawahi olewa.
Awe hajazaa.
Asiwe na historia chafu.
Umri kuanzia 17-22.
Apatikane Dar, Moro, Pwani, Tanga, Lindi, Kondoa & Mtwara.
Angalau Elimu ajue kusoma na kuandika tu.
Ni PM. TUELEZANE MENGINE.
NB;-
USIWE NA SHAKA...MIMI NINA SIFA HIZO KWENYE DINI.
Sijawahi oa ndio nataka nioe. SINA MTOTO.
ELIMU NIPO MBALI KIDOGO.
SIWEZI KWENDA KINYUME NA AMRI YA ALLAH...Ila usimletee mke wa pili na wa tatu. Wala usimzuie kurithi mali zako ikitokea umetangulia huko mbele
Anayesoma mwacheni asome...mimi nataka anayetaka kuolewa...