pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 654
Mke mwema anahitajika sana. Awe na sifa hizi
1. Mkristo au mwislam aliyetari kuwa mkristo preferably mpentekoste.
2. Elimu sio kigezo ila awe na akili nyingi za maisha.
3. Awe ni mwanamke mwenye kuipenda na kuthamini ndoa awe tayari kuishi kwa ndoa ya kikristo pamoja na utamaduni wa nyanda za juu kusini kama haujui awe tayari kujifunza.
4. Awe tayari kukaa nyumba ya kupanga vyumba viwili Kimara au Magomeni.
5.awe ni mtu anayejipenda, kujithamini, na kujijali ili aweze kupenda wengine.
6. Asiwe mvivu wa kazi za shamba, kufuga na za nyumbani.
6. Rangi zote sawa ila awe mwenye kujitizama vizuri bila make up na ajue kujiona mwenyewe ni mzuri.
7. Anaweza kutoka popote ila wa nyanda za juu kusini itapendeza zaidi.
8. Awe mtu asiye na visasi na familia yake mwenyewe au watu wanaomzunguka.
9. Awe mtu ambaye hajawahi kuishi na mtu kama mume iwe chuoni au mahali popote.
10. Awe tayari kupima UKIMWI, homa za ini zote, na vipimo vingine vya muhimu kiafya.
Kama mtu wa namna hii yupo na nahitaji mume wa kumuoa kwa mke mmoja na kuishi maisha ya kibiblia na kitanzania na hasa utamaduni wa nyanda za juu kusini.