Mke mwema anahitajika

Joined
Jan 10, 2020
Posts
15
Reaction score
22
Habari!

Nahitaji mwanamke wa maisha umri wangu ni miaka 32 nimejiajiri dini yangu ni mkristo

Nahitaji mwanamke mwenye umri wa miaka 23-26yrs , mwenye kujua nini maana ya familia .
Sichagui dini wala kazi lakini awe mcha Mungu.
Anicheki Pm au robertpaul225@gmail.com

Napenda kuwasilisha.
 
Id Mupyaa
Ila, kweli una haja ya mke hao 23 utawaweza maaa bado, vindakindaki
Angalau 25... anyway kila la kheri,Usisite kuleta mrejesho
 
Jitahidi sana mke usimpite zaidi yamiaka mitano. Mfano wewe una miaka 32 jitahidi awe kati ya 25-27 gap kubwa baadae shida sana
 
Usioe watoto utajikuta unaenda kulea mke na kukuongezea majukumu ya malezi yani watoto uwalee na mama yao umlee,
Tafuta mwanamke mwenye kukaribia umri wako huyo ndio atakuwa ana elewa nini maana ya familia.
 
Hi babe, love you too my meno[emoji3], hili jina mi hoi "Meno ya kuku", ulifikiria nini hadi kujiita hivo mkuu?
Najua hata kipenzi changu basis tu kiroba imekaa sawa + discrete math=meno ya kuku akazaliwa.
🙂 🙂
 
Bahati mbaya huku Jf ulikoweka tangazo wengi wako over 40.
Jaribu instagram na fb

Kama unataka makungwi au mafundi sogeza miaka . Utashukuru
 
Reactions: Sax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…