MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
Natafuta mke atakae kuwa tayari kuolewa, wasifu wangu ni
1- mrefu wa fit 5 na sm 8
2- nimejiajili
3- mkristo wa kkkt
4- umri wangu ni 40,
Sifa za mke ninaemhitaji awe:-
1- mkristo mwenye hofu ya Mungu
2-awe mweupe
3- akiwa na mtoto sio mbaya! Kwani nami nina watoto!
4- umri kuanzi 26-37
Mengine tutajuzana pm.
Karibuni mnahitaji mme!!
1- mrefu wa fit 5 na sm 8
2- nimejiajili
3- mkristo wa kkkt
4- umri wangu ni 40,
Sifa za mke ninaemhitaji awe:-
1- mkristo mwenye hofu ya Mungu
2-awe mweupe
3- akiwa na mtoto sio mbaya! Kwani nami nina watoto!
4- umri kuanzi 26-37
Mengine tutajuzana pm.
Karibuni mnahitaji mme!!