..hao wengine sio mungu huyo huyo amewaumba???
...mke mwema na sie mwema wote wanatoka kwa BWANA...lol
kiukweli mnasahau hio check-list inatwakiwa iwe na vitu vyote...wema included!..mapozi,sura nzuri na wema pia...lol
Hongera mkuu...endelea kutafuta!mkuu mada yako ni muhimu sana mm bado natafuta mke mwema na ninahamini mwema anasifa zote mpaka ambazo ujaandika hapo mkuu kulingana na mithali 31 ukimpata huyo loh utafuraia maisha kwa kiwango cha juu
mmh.. kwa hiyo mke mwenye sura ya utata hawezi kuwa mwema?
Mke mwema kwa kizazi cha sasa ni subjective (yaani inategemea huyo anayesema mke wangu nimwema anaangalia kutoka upande gani). Mke mwema kwa Mtu x sio lazima awe mwema kwa mtu y au kundi la watu. Mke mwema kwa vigezo vya Mungu ni Universal. Cha msingi kabla ya kuoa chagua mtu (mke) ambaye ana hofu na Mungu (a God fearing person). Ambaye kabla ya kutenda jambo anajiuliza hili mbele Mungu na wanadamu likoje (lina impact gani). Kabla ya kusema jambo anajiuliza effects zake. Ili umpate mtu (mke) wa aina hiyo lazima na wewe upitie vigezo hivyo hapo juu kwa sababu jambo unalopenda utendewe ni vizuri zaidi ukilitenda pia kwa wengine. Jifunze kuwa a responsible husband and a responsible father, hapo utapata a responsible wife and mother. Ni matumaini yangu kuwa utampata mke mwema naye atapata mme mwema
Heshima mbele wakuu.
Nikiwaza kwa sauti juu ya jibu la swali lako hapo juu, nafurahi manake na wewe jibu unalifahamu. Jibu lipo katika user name yako, hii ni kama unaamini juu ya Gender Issues. Wote tunahitaji kuwa wema kwa wenzetu.Kwa kweli hapa patamu.na mume mwema je?
MM...yaani nilidhani wewe ni mkongojo unatembelea..kumbe..Well.. I'm still searching!!! Wakati mwingine nafikiria nimempata and I get all elated and euphoric to find out.. she has everything else but 'THAT' ..
je na mke anayejua mamboz kwa style unazotaka huyo anatoka kwa shetani?
MM...yaani nilidhani wewe ni mkongojo unatembelea..kumbe..
au, unaye ila si mwema sasa unatafuta bado..!???
wich is wich!??
haha..love the excuse!jamani wengine ndiyo tuko kama kina George Clooney.. mvi zinaingia bado tunatafuta kila tunapofikiria tumepata tunakuta si "wema"..
jamani wengine ndiyo tuko kama kina George Clooney.. mvi zinaingia bado tunatafuta kila tunapofikiria tumepata tunakuta si "wema"..
Kila mke mwema ni wa mume mwema. Kama hujapata mume mwema basi ujue wewe sio mume mwema. You have to do something needful ili kupata mke mwema.
The more you look for mke mwema, the more unlikely you are mume mwema.