you know what.. you are probably very right.. on the other hand.. Biblia haisemi juu ya mume mwema anatoka wapi! It looks like you will recognize him when you meet him..
mmh.. kwa hiyo mke mwenye sura ya utata hawezi kuwa mwema?
mume mwema anatoka hukohuko kwa bwana,unauliza majibu?Mtu akikuambia mke mwema anatoka Ruvuma, na wewe uko Dsm, itakuwaje? Tatizo langu mimi ni mume mwema anatoka wapi? Manake tunajitafutia kwa kutumia checklist na ku-certify lakini .....!