Amoxline
Member
- Apr 20, 2017
- 75
- 49
Habari zenu wana Love Connect,
Mimi binafsi nilipata mwenza nakufunga nae ndoa nilimpata hapa love connect. Hivyo kutokana na hilo nina rafiki zangu wanatafuta waume wa kuanzisha nao mahusiano na mwisho kufikia kufunga ndoa.
Labda nisiwachoshe sana, niende kwenye wasifu wao kama ifuatavyo, wapo 3 hawa mabinti;
Natumia majina ambayo siyo original.
1: Selina sifa zake;
Umri: 27
Elimu: kidato cha 6
Dini: Mkristo
Kazi: Mwajiliwa wa sector binafsi
Ana watoto wawili
Mwanaume anayetafuta miaka 30-40
Mkristo, kabila lolote
2: Happy
Umri anaemtafuta miaka 33-40
Mkristo mwenye kujitambua awe na kazi ya kumuingizia kipato
Sifa za happy
Umri: 25
Dini: Mkristo
3: Maria anaemtafuta umri25-30
Umri wa Maria miaka 38
Ana watoto wa 4 mfanyabiashara na ni mwajiliwa wa serikali.
Elimu chuokikuu
Kwa watu seriously tu njoo PM taja jina la mtu unayemuitaji nakutumia no yake kwa mawasiliano zaidi. Hawa wote wapo serious.
4: Agnes
Umri miaka 24
Anaemtafuta miaka32-40
Elimu kidato cha4
Hana mtoto.
5: Angelina miaka 35
Anaemtafuta miaka 35-45
Elimu chuo kikuu
Watoto alionao wawili.
Nawasilisha.