[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]hajaeleza vizuriHuyo mwenye watoto wa4 ni mjane au?
Tumetoka mbali sna tangu kuchumbia mimba mpka kuchumbiwa dah tunaelekea kwa wahindi sasaHabari zenu wana Love Connect,
Mimi binafsi nilipata mwenza nakufunga nae ndoa nilimpata hapa love connect.
Hivyo kutokana nahilo nina rafiki zangu wanatafuta waume
wa kuanzisha nao mahusiano na mwisho kufikia kufunga ndoa.
Labda nisiwachoshe sana, niende kwenye wasifu wao kama ifuatavyo;
Wapo wa3 hawa mabinti.
Natumia majina ambayo siyo original.
1:Selina sifa zake;
Umri:27
Elimu: kidato cha 6
Dini: Mkristo
Kazi: Mwajiliwa wa sector binafsi
Ana watoto wawili
Mwanaume anayetafuta miaka30-40
Mkristo kabila lolote
2:Happy
Umri anaemtafuta miaka 33-40
Mkristo mwenye kujitambua awe na kazi ya kumuingizia kipato
Sifa za happy
Umri: 25
Dini:Mkristo
3:Maria anaemtafuta umri25-30
Umri wa Maria miaka 38
Ana watoto wa 4 mfanyabiashara na ni mwajiliwa wa serikali.
Elimu chuokikuu
Kwa watu seriously tu njoo pm taja jina la mtu unayemuitaji nakutumia no yake kwa mawasiliano zaidi.
Hawa wote waposeriosly.
4:Agnes
Umri miaka 24
Anaemtafuta miaka32-40
Elimu kidato cha4
Hana mtoto.
5:Angelina miaka 35
Anaemtafuta miaka 35-45
Elimu chuo kikuu
Watoto alionao wawili.
Nawasilisha.
Mhhh! Hapa naona mwenye CV yenye unafuu kidogo ni huyo Agnes!! Hao wengine, tuendelee tu kuwatafutia wenzi wao.Habari zenu wana Love Connect,
Mimi binafsi nilipata mwenza nakufunga nae ndoa nilimpata hapa love connect. Hivyo kutokana na hilo nina rafiki zangu wanatafuta waume wa kuanzisha nao mahusiano na mwisho kufikia kufunga ndoa.
Labda nisiwachoshe sana, niende kwenye wasifu wao kama ifuatavyo, wapo 3 hawa mabinti;
Natumia majina ambayo siyo original.
1: Selina sifa zake;
Umri: 27
Elimu: kidato cha 6
Dini: Mkristo
Kazi: Mwajiliwa wa sector binafsi
Ana watoto wawili
Mwanaume anayetafuta miaka 30-40
Mkristo, kabila lolote
2: Happy
Umri anaemtafuta miaka 33-40
Mkristo mwenye kujitambua awe na kazi ya kumuingizia kipato
Sifa za happy
Umri: 25
Dini: Mkristo
3: Maria anaemtafuta umri25-30
Umri wa Maria miaka 38
Ana watoto wa 4 mfanyabiashara na ni mwajiliwa wa serikali.
Elimu chuokikuu
Kwa watu seriously tu njoo PM taja jina la mtu unayemuitaji nakutumia no yake kwa mawasiliano zaidi. Hawa wote wapo serious.
4: Agnes
Umri miaka 24
Anaemtafuta miaka32-40
Elimu kidato cha4
Hana mtoto.
5: Angelina miaka 35
Anaemtafuta miaka 35-45
Elimu chuo kikuu
Watoto alionao wawili.
Nawasilisha.
Hahaa kwanini hao wengine? Ni hao watoto wamekutisha? Au umri?Mhhh! Hapa naona mwenye CV yenye unafuu kidogo ni huyo Agnes!! Hao wengine, tuendelee tu kuwatafutia wenzi wao.
Kwa namna ninavyo wafahamu waoaji wa hunu jukwaani, mchakato utachukua muda mrefu kidogo..Hahaa kwanini hao wengine? Ni hao watoto wamekutisha? Au umri?
Ni add na mimi hapo mkuu ka vipi,....Habari zenu wana Love Connect,
Mimi binafsi nilipata mwenza nakufunga nae ndoa nilimpata hapa love connect. Hivyo kutokana na hilo nina rafiki zangu wanatafuta waume wa kuanzisha nao mahusiano na mwisho kufikia kufunga ndoa.
Labda nisiwachoshe sana, niende kwenye wasifu wao kama ifuatavyo, wapo 3 hawa mabinti;
Natumia majina ambayo siyo original.
1: Selina sifa zake;
Umri: 27
Elimu: kidato cha 6
Dini: Mkristo
Kazi: Mwajiliwa wa sector binafsi
Ana watoto wawili
Mwanaume anayetafuta miaka 30-40
Mkristo, kabila lolote
2: Happy
Umri anaemtafuta miaka 33-40
Mkristo mwenye kujitambua awe na kazi ya kumuingizia kipato
Sifa za happy
Umri: 25
Dini: Mkristo
3: Maria anaemtafuta umri25-30
Umri wa Maria miaka 38
Ana watoto wa 4 mfanyabiashara na ni mwajiliwa wa serikali.
Elimu chuokikuu
Kwa watu seriously tu njoo PM taja jina la mtu unayemuitaji nakutumia no yake kwa mawasiliano zaidi. Hawa wote wapo serious.
4: Agnes
Umri miaka 24
Anaemtafuta miaka32-40
Elimu kidato cha4
Hana mtoto.
5: Angelina miaka 35
Anaemtafuta miaka 35-45
Elimu chuo kikuu
Watoto alionao wawili.
Nawasilisha.
HiHabari zenu wana Love Connect,

We acha tu kuna hatari kutongoza na vibwengo .shida watafuta wanaume bado ni wababe wakati umri umeenda ndo shidaTaratibu mtaanza kutangaza na bei zai muda ni dawa