Mke mwema mwenye uhitaji wa dhati wa kuwa mke anahitajika

Mke mwema mwenye uhitaji wa dhati wa kuwa mke anahitajika

mkapa junior

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
33
Reaction score
91
Niingie kwenye mada tajwa.
Nahitaji mke mwema.

Sifa za nimtakaye
Awe mwaminifu mwenye nia ya kweli, aliyemaliza mambo ya ujana, aliyetayari na mwenye shauku ya kuanza familia.

Umri 26-35
Anayejishughulisha na shughuli halali.
Mkweli
Dini yyte


Sifa zangu
Mfanyabiashara
Mkazi Wa Moro
Elimu ya chuo kikuu
Mkristo
Mwamini sana
Mpole
Mpenda ukweli
Muwazi

Kama upo interested please nipm kwa mawasiliano zaid.

Asante
 
All the best inaonekana upo real sana. Naona na picha umeweka kabisa no longolongo.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom