Mke mwema mwenye utayari anatafutwa hapa

Mke mwema mwenye utayari anatafutwa hapa

ELLY83

Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
9
Reaction score
0
JAMANI MIMI SITANII NIKO SERIOUS NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA MKRISTO,UMRI 22-28,UMRI WANGU NI MIAKA 28 AWE MKWELI MSAFI ASIWE NA MTOTO(MIMI SINA),UMBO LA KAWAIDA ELIMU YEYOTE KABILA LOLOTE RANGI YEYOTE TUWASILIANE KUPITIA (mshanaemanuel@yahoo.com)
 
Kina dada ambao hamjaolewa please jamaa yupo serious.

Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
 
mke mwema hapatikani sokoni ,mke mwema huletwa na MUNGU
 
Usikejeli mambo yasiyokuhusu kwa kuwa hayata kusaidia chochote.Naamini uwepo wa Mungu naufahamu kuliko unavyofikiria
 
mke mwema hapatikani sokoni ,mke mwema huletwa na MUNGU

Wakati nasoma Katekisimu nilifundishwa kuwa "Mungu yupo mahali Pote".

Na sidhani kuwa Mungu atamshika mke mkono na kukuletea, so muache kutumia verses ambazo hamjui maana yake kudiscourage wenzenu.
 
Wakati nasoma Katekisimu nilifundishwa kuwa "Mungu yupo mahali Pote".

Na sidhani kuwa Mungu atamshika mke mkono na kukuletea, so muache kutumia verses ambazo hamjui maana yake kudiscourage wenzenu.
mazingira ndio yanawakutanisha lakini mke mwema haptikani kwakutangaza kama unataka kununua nyanya ndio maana hakuna soko la wake wema,MUNGU anatengeneza mazingira ambayo utakutana na mke mwema.kwa staili hii lazima upate kimeo.
 
JAMANI MIMI SITANII NIKO SERIOUS NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA MKRISTO,UMRI 22-28,UMRI WANGU NI MIAKA 28 AWE MKWELI MSAFI ASIWE NA MTOTO(MIMI SINA),UMBO LA KAWAIDA ELIMU YEYOTE KABILA LOLOTE RANGI YEYOTE TUWASILIANE KUPITIA (mshanaemanuel@yahoo.com)

Kama umeshindwa kumpata huyo mke mwema huko mtaani na maofisini unaposhinda nao ndo utampata humu mkuu? Yani mke anatolewa tangazo mtandaoni kama vile zabuni?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nadhani haikuhusu hivyo piga kimya

kijana acha kucheza na maji ya moto! suppose wakijitokeza wadada 30 utatumia vigezo gani kumpata huyo mke mwema? au utawafanyia tests kwa kuwapitia mmoja baada ya mwingine? nakushauri look around katika jamiii unayokaa...katika shule / vyuo ulivyosoma na kwa wale wote uliowahi kukutana nao ukawafahamu tabia zao then chekecha utampata huyo mke mwema!
 
Waego utampata tu achana na hao wanaokukatisha moyo.
Naimani mpaka sasa kuna ambao wamekupm.
All the best
 
nadhani haikuhusu hivyo piga kimya

Ingekuwa hainihusu ungeenda kuwaomba wazazi wako wakutafutie huyo mke wakuletee badala ya kuja kuanzisha thread hapa. Usipende mteremko mkuu. Hayo mambo waachie dada zetu. Watu tunachoma mafuta ya gari mwezi mzima kufuatilia mademu na bado tunamwagwa lakini hatukati tamaa bado tupo mitaani tunawatafuta. N.B. CHEAP IS EXPENSIVE.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huna uliosoma nao..miaka yote hiyo hujawaona? duuuuhhhhhh, mtaaani,jirani, kwenye basi? friends of friends? duuuh....
 
Uko sawa kamanda mwenyewe nimeamini huku hakufai kabisa
 
Back
Top Bottom