Usiamini sana ivo mkuuMke mwema mkuu hapatikani JF,acha kujitafutia madonda ya tumbo
Kuwa msomaji mzuri wa comment za hapo utangundua wake wema wapo wanne tu humu jf nasijui uwaga ni wake za watu au laah!
Sent using Jamii Forums mobile app
hujui Ndege wafananao ndio huruka pamoja?Mke mwema mkuu hapatikani JF,acha kujitafutia madonda ya tumbo
Kuwa msomaji mzuri wa comment za hapo utangundua wake wema wapo wanne tu humu jf nasijui uwaga ni wake za watu au laah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Keshasema akiwa mzuri sana.Nipo hapa mume wangu.
Hey,
Natafuta mke alietayali kutengeneza familia mwaka huu 2019 kuanzia leo jan 26-hadi mungu atakapotuita.
SIFA ZAKE
1. awe mkweli
2. asiwe mzuri sana
3.awe maji ya kunde/ mweupe kias
4.kama ameshazaa ni vizuri zaidi
5. Umri 18-28
SIFA ZANGU
1.nmkweli na mwaminifu
2.mrefu kias
3.nmejiajiri pia nmwajiriwa
4.mweusi
5. Umri 30
Kwa alietiari ni PM, asanten