Mke mwema njoo, unahitajika!

Heart Wood.

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
982
Reaction score
1,179
MKE MWEMA NI HUYU.

Mcha Mungu, Mvumilivu, Mstahimilivu uliyeokoka na kumkiri Mungu kwa kumaanisha na siyo kumkiri kwa mdomo tu wakati moyoni hakuna Mungu, (Hiki ni kigezo muhimu zaidi).

Creative na Mchapakazi..

Uwe unajielewa, ujiandae kuwa katika Familia ya Kuomba na Kufunga regularly.

Ujiandae kuishi maisha halisi, siyo kama yale ya Bongo Movie.

Jiandae kutembelewa na kupata wageni wa kutosha..

Nyingine zaidi ya hizo ni mbwembwe tu za Dunia hii. Ambazo siyo za msingi sana.

Karibu kwa ushauri na maoni zaidi..
 
Elimu ya chuo kikuu hivi nayo ni kigezo cha kupata mke mwema...........................? nauliza tu
 
Nimelipenda sana bandiko lako!!! Umejieleza vizuri!
Mungu akupatie haja ya moyo wako
 
Kuvunja mkataba wa kazi kweli ss mke mwema unaomba tu itaji litakuja
Unafanya bidii pia, siyo kuomba tu na kusubiri muujiza. Lazima uoneshe nia vilevile baada ya kuomba. Mke haji kama muujiza tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…