Mke mwema upo wapi?

Mke mwema anatoka kwa bwana
 
sasa wewe ndugu yangu, hauko siriaz, manake kuna wadada humu wengi tu wanaleta nyuzi la kutafuta waume, sasa kwanini usiwafate pm wale wanaotafuta waume humu kuliko kuanzisha thread
 
Yaani wale wadada wakiweka tu uzi , unakutana na reply kama mia moja za kuwahi nafasi, nahisi wao wenyewe huwa wanachanganyikiwa, lakini sisi wanaume ukimpata mdada ujue kweli amekuelewa,
 
sasa wewe ndugu yangu, hauko siriaz, manake kuna wadada humu wengi tu wanaleta nyuzi la kutafuta waume, sasa kwanini usiwafate pm wale wanaotafuta waume humu kuliko kuanzisha thread
Naomba nimteteeee. ..ukianzisha thread Ni rahisi kupata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…