Mke mwenye hizi sifa 16 anahitajika haraka

EMMANUEL JASIRI

Senior Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
150
Reaction score
84
Vigezo;

1. Miaka 30 Mpaka 41

2. Amezaliwa Mara ya Pili.

3. Amejazwa Roho Mtakatifu.

4. Amebatizwa Maji Mengi.

5. Anaipenda na Kukubali Huduma ya Boniface Mwamposa Pamoja na Mitume na Manabii Wote Wenye Makanisa.

5. Aliye Tayari kuwa Mama Mchungaji.

6. Aliye Tayari kuishi mazingira Yoyote akiambatana na mumewe

7. Aliyezaliwa Kati ya tarehe 8/10/11/16/19

Mwezi wa 6 ,10,na Mwezi wa 12 Katika tarehe hizo tu.

Au Tarehe 26,29 na 31 katika Mwezi wa 5,9 na 11.


8. Mwenye Jina Linalo anza na herufi zifuatazo;

A,b,m,r,s,e,I,q,w,c,o

9. Mcha MUNGU Mwenye uwezo wa kusamehe

10. Mwana maombi

11. Asiwe msengenyaji.

12. Awe Tayari kuishi Arusha na Kenya.

13. Asiwe tegemezi kwa 100%

14. Awe Tayari kuwa interview.

15. Anayependa sana NENO la MUNGU.

16. Mpenzi wa Kusoma Vitabu Vya Kiroho na Vya kuelimisha kuhusu Maisha.

Muoaji akiridhishwa Ndoa ni haraka sana.

Kwa Mawasiliano zaidi;

Tuma ujumbe kwenda

Email: emmanuelpaul2050@gmail.com

Au Weka Namba Yako ya WhatsApp,

Muoaji Atawasiliana Nawe kwa haraka.

Wenye vigezo Hivyo nyote mnakaribishwa.

Mrejesho: Mke mwenye sifa 16 anahitajika haraka
 

Duhhhh😄😄
 
Rangi,Kimoja nk sio kipaombe?
 
Hatuoi supermarket kwamba tutakuta kila kitu huko.. Lakini pia kuna wazugaji wanaweza kutembea na fursa wakaficha makucha kumbe ndani ni nyoka koboko
 
Umeshindwa kumwomba Mungu unakuja kutuomba sisi wa JF? Mwamposa huyo anaombea watu wapate wake wewe unampuuza na kuja jf.
Shindwa kwa jina la Yesu,
 


Mwenye Sifa ya 2, 3, na 4 huwezi mkuta jamiiforums anatafuta Mchumba, maana atakuwa anaongozwa na Roho!
 
Nabii baada ya sadaka za akina mama ,Sasa unataka uoe rasmi ?okota humo hemani kwa bwana huku Kuna nguruwe tu ,kondoo hauwezi bahatika .
 
Si ungeweka matangazo hapo kanisani kwenu kwa mwamposa? Maana kwa lile nyomi linalo hitaji ndoa ...usinge ambulia patupu
Shida yangu ni vigezo vyangu,Najua wapo wengi.kama Una vigezo njoo sasa Hivi.
 
Nabii baada ya sadaka za akina mama ,Sasa unataka uoe rasmi ?okota humo hemani kwa bwana huku Kuna nguruwe tu ,kondoo hauwezi bahatika .
Haki, Jamaa yangu Wewe ni Mkorofi.

Hata hivyo nitasonga mbele mpaka nifanikishe lengo langu,kumpata mwenye vigezo Hivyo.
 
Taarifa inasikitisha mnooo!
 
Hiyo number 5 umeharibu kabisa. Huyu jamaa ni kama Baltazar tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…