Mke mwenye mimba changa anatoa bleed, tatizo ni nini?

Mke mwenye mimba changa anatoa bleed, tatizo ni nini?

mamitber

Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
28
Reaction score
4
MKE mwenye mimba changa akaingia bleed tumbo kuuma leo no siku ya tatu tatizo tangu litokee, afanye nini? naombeni ushauri
 
MKE mwenye mimba Changa akaingia bleed tumbo kuuma.leo ni Siku ya TATU tatizo itokee!afanye nini?naombeni ushauri!amepimwa Leo upt inaonekana mimba bado IPO ingawa Siku ya Leo damu mabonge mabonge yameanza kutoka ila mwanzo damu nyepesi
 
mjazmito yeyote haitakiwi kuona damu inatoka ukeni, ukiona hivyo ni tatizo na lazima kuwahi kituo cha kutolea huduma za afya haraka iwezekanavyo. ni dalili ya hatari kwa mjamzito
 
Jf hakuna msaada wa hilo tatizo ni hospital tu
 
Back
Top Bottom