MKE mwenye mimba Changa akaingia bleed tumbo kuuma.leo ni Siku ya TATU tatizo itokee!afanye nini?naombeni ushauri!amepimwa Leo upt inaonekana mimba bado IPO ingawa Siku ya Leo damu mabonge mabonge yameanza kutoka ila mwanzo damu nyepesi
mjazmito yeyote haitakiwi kuona damu inatoka ukeni, ukiona hivyo ni tatizo na lazima kuwahi kituo cha kutolea huduma za afya haraka iwezekanavyo. ni dalili ya hatari kwa mjamzito