Mke mwenye umri miaka 24 nakuendelea anahitajika

Mke mwenye umri miaka 24 nakuendelea anahitajika

M2mishi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
715
Reaction score
268
Ni matumaini yangu wana jamvi kua hamjambo. Najitokeza kwa mara ya kwanza katika ukumbi huu nikimtafuta wangu wa maisha.
Mimi ni kijana mwenye umli miaka 30. Ni mtumishi wa umma nimeajiliwa kwenye moja ya taasisi za serikali mkoani Singida. Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:

Awe tayari kupima H.I.V
ASIWE MWANAFUNZI.
Awe na maturity asiwe na mawazo ya kitoto.
umli miaka 22 na kuendelea.
Dini:yoyote
Elimu:kidato cha nne na kuendelea.
Umbo:wastani
Hali ya ndoa:awe hajawahi kabisa kuolewa na wala asiwe na mtoto.
Asiwe mlevi wala mvuta sigara.
Kwa anae ishi kanda ya kati atapewa kipaumbele.

Wasiliana nami kupitia namba
0753868912
 
Back
Top Bottom